NMB Gongo la Mboto Branch mna shida gani?

NMB Gongo la Mboto Branch mna shida gani?

Methyl phenol

Senior Member
Joined
Jul 22, 2021
Posts
184
Reaction score
280
Aisee kuna hii branch ya NMB gomsi huwa najiuliza maswali nashndwa kuelewa. Branch iko mzambarauni karibu kabisa na gomsi means inahudumia population kubwa ya gomsi na maeneo jirani.

Lakini mazingira yake hasa kwa wateja wa nje wanaofanya transaction kwenye ATM huku nje ni balaa yan wateja unakuta wamepanga foleni JUANI (foleni kubwa coz atm mara nying unakuta n moja tu inayofanya kazi so sad)

Yani ukienda pale unapanga foleni jua litakupiga hatari unless ukute halijawaka siku hyo au hata manyunyu ya mvua hata ukisema ubaki kwenye gari haiwezekan maana wanakupita kwenye foleni.

It's too sad & boring kwa branch kubwa kama ile ATM znazngua unakuta folen lefu sababu ya atm machine moja
Wanaboa sana hawa wananzengo[emoji706]
 
Back
Top Bottom