Waziri alishasema tozo zitakatwa sio tuu kwenye simu bali kwenye miamala yote ya kifedha,ilikuwa na suala la kukunariana tuu na Serikali kiwango ndio waanze kufanyaWanaibuka ghafla tu from no where aisee hii mitozo sio kabisa
Yaan sms inakuja bila kutaja kiasi kinacho katwa wala asilimia zinazo katwa kwakweli huu ni uonevu mkubwa sana kwa wananchi tutatoa pesa zetu maana kwanza kuna makato mengi sana ya bank nanbado tozo aisee mama kaamuaWaziri alishasema tozo zitakatwa sio tuu kwenye simu bali kwenye miamala yote ya kifedha,ilikuwa na suala la kukunariana tuu na Serikali kiwango ndio waanze kufanya
Ukikatwa ndio utakiona maana sio quorta kwamba wakwambie bali makato yatategemea kiwango cha ukubwa muamala utakaofanya.Yaan sms inakuja bila kutaja kiasi kinacho katwa wala asilimia zinazo katwa kwakweli huu ni uonevu mkubwa sana kwa wananchi tutatoa pesa zetu maana kwanza kuna makato mengi sana ya bank nanbado tozo aisee mama kaamua