NMB huduma kwa wateja muitoe kama mmeshindwa kuwajali wateja

NMB huduma kwa wateja muitoe kama mmeshindwa kuwajali wateja

ROBERT MICHAEL

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2012
Posts
5,054
Reaction score
2,858
Leo siku nzima , najaribu kuwapigia simu huduma kwa wateja simu inaita dk 30 bila kujibiwa. Hao, mliowaajiri hiko kitengo cha huduma kwa wateja kazi yao ni ipi.

Badilikeni, miamala imekwama na watu wanawapigia kupata suluhisho, simu hampokei .Hamjui mnakwamisha shughuli za watu.

Ndio maana kila siku tunaomba Mungu hizi benki za wenzetu nje waendelee kufungua matawi huku mikoani, tuache mbenki wenu ambao upo upo tu.
 
Back
Top Bottom