NMB Tanzania
Official Account
- Sep 13, 2014
- 94
- 231
- Thread starter
-
- #21
Asante sana Ndugu Utandu,Hongereni mmejitahidi, nimeipakua nakuijaribu kuitumia ipo vizuri sana, mmejitahidi.
Salaam Onduru,Ile nmb appy ya zamani imekufa?
Na je ina tofauti gani na hii?
Hii haitakufa kama ile ya mwanzo?
Hili swali #NMB Tanzania hujaliona?Nikiwa na app yenu hii nitakatwa Bundle Tu wakati nafanya miamala ama nitakatwa na pesa katika akaunti yangu?
Hili swali #NMB Tanzania hujaliona?Nikiwa na app yenu hii nitakatwa Bundle Tu wakati nafanya miamala ama nitakatwa na pesa katika akaunti yangu?
Salaam,Nikiwa na app yenu hii nitakatwa Bundle Tu wakati nafanya miamala ama nitakatwa na pesa katika akaunti yangu?
sante kwa kujiunga na benki bora Nchini Tanzania, tuendeleee kuwaunganisha watanzania wengi zaidi kwenye mfumo wa kifedha kwa kutumia NMB KLiKNinayo hiyo huduma na nimejiunga na kufungua account NMB last week.Naona ina huduma nzuri.
Samahani ni kiasi gani charges...Hello Tony,
Tunafanyia kazi suala hili na mtapata huduma hii, kwa sasa unaweza ku KLiK kupitia *150*66# na kufaidi huduma zetu.
Habari,mna huduma ya visa card?a
sante kwa kujiunga na benki bora Nchini Tanzania, tuendeleee kuwaunganisha watanzania wengi zaidi kwenye mfumo wa kifedha kwa kutumia NMB KLiK
Kwa mantiki hiyo nitakua na makato mara mbili. Bundle na bank. Uafadhali wa maisha unazidi kutokomea kizani.Salaam,
makato ya kawaida ( Transaction charges) ya miamala yatakuwapo kulingana na vigezo na masharti.
Okay, wamejitahidi kuweka menu ambazo ndio utupeleka bank mala kwa mala mfano bank statement, kujua salio, kufanya mihamala, kukokotoa masula ya mkopo nk, uzuri wake haipo slow yani ukilog in menu zake zinafunguka na kurepond haraka sana, mfano kama unatumia NMB mobile unaingiza namba yako ya NMB mobile na pass word yako baada ya hapo unaweza kuacces na inakuletea tarifa zako zote za kibankMkuu unaweza kuelezea japo machache kuhusu hiyo App?
Nimepokea SMS muda si mrefu ila nimesita kujitosa kuipakua kwanza ili nijiridhishe na yaliyomo kupitia habari kama hizi
Hello Deo,Habari,mna huduma ya visa card?
inawezekana kutumia akaunti yenu kwa ajili ya online purchasing?
wakikujibu naomba unitagwhy sisi tunaotumia windows phone mnatutenga!??kwahiyo sisi hatustahili kuwa na hizo NMB app!?Please be considerably