NMB KLiK - Benki Kiganjani mwako

NMB KLiK - Benki Kiganjani mwako

Hongereni mmejitahidi, nimeipakua nakuijaribu kuitumia ipo vizuri sana, mmejitahidi.
Asante sana Ndugu Utandu,
sasa ni muda wa kuwaunganisha Watanzania wote na huduma za kibenki kwa urahisi zaidi, ni ku KLiK tu
 
Ile nmb appy ya zamani imekufa?

Na je ina tofauti gani na hii?

Hii haitakufa kama ile ya mwanzo?
Salaam Onduru,

App ya zamani kwa sasa hatukushauri kuitumia, maboresho yaliyofanyika kwenye hii mpya ni makubwa na ya kisasa zaidi.

Asante
 
Hongereni sana NMB! Hakika kwa hii NMB KLiK mmeonyesha maendeleo makubwa sana katika uboreshaji wa huduma zenu.
 
Kwa maana hiyo ile App ya NMB Mobile iliyokuwapo awali ndio imeshaondolewa?
 
Nikiwa na app yenu hii nitakatwa Bundle Tu wakati nafanya miamala ama nitakatwa na pesa katika akaunti yangu?
Salaam,
makato ya kawaida ( Transaction charges) ya miamala yatakuwapo kulingana na vigezo na masharti.
 
a
Ninayo hiyo huduma na nimejiunga na kufungua account NMB last week.Naona ina huduma nzuri.
sante kwa kujiunga na benki bora Nchini Tanzania, tuendeleee kuwaunganisha watanzania wengi zaidi kwenye mfumo wa kifedha kwa kutumia NMB KLiK
 
a

sante kwa kujiunga na benki bora Nchini Tanzania, tuendeleee kuwaunganisha watanzania wengi zaidi kwenye mfumo wa kifedha kwa kutumia NMB KLiK
Habari,mna huduma ya visa card?
inawezekana kutumia akaunti yenu kwa ajili ya online purchasing?
 
Mkuu unaweza kuelezea japo machache kuhusu hiyo App?

Nimepokea SMS muda si mrefu ila nimesita kujitosa kuipakua kwanza ili nijiridhishe na yaliyomo kupitia habari kama hizi
Okay, wamejitahidi kuweka menu ambazo ndio utupeleka bank mala kwa mala mfano bank statement, kujua salio, kufanya mihamala, kukokotoa masula ya mkopo nk, uzuri wake haipo slow yani ukilog in menu zake zinafunguka na kurepond haraka sana, mfano kama unatumia NMB mobile unaingiza namba yako ya NMB mobile na pass word yako baada ya hapo unaweza kuacces na inakuletea tarifa zako zote za kibank

Uzuri no kwamba sasa ukiwa na bando tu la interest unafanya utakacho tofauti na NMB mobile ambayo baadhi ya mitandao ya sm iliitaji uwe na salio kwenye sm ndio uweze kuaccces NMB Mobile.
 
Back
Top Bottom