NMB KLiK - Benki Kiganjani mwako

NMB KLiK - Benki Kiganjani mwako

Nimeweza kujiunga na kufungua chap chap account kwa kupitia hii APP je naweza kupata credit card (visa /master card) kwa kupitia kwenye branch zenu na ikawa linked na account hii niliyofungua?
 
Hii app ilikua nzuri sana.ila tokea wame update imekua hovyo sana

Ni nzito na hata kulog in imekua mtihani
 
Okay, wamejitahidi kuweka menu ambazo ndio utupeleka bank mala kwa mala mfano bank statement, kujua salio, kufanya mihamala, kukokotoa masula ya mkopo nk, uzuri wake haipo slow yani ukilog in menu zake zinafunguka na kurepond haraka sana, mfano kama unatumia NMB mobile unaingiza namba yako ya NMB mobile na pass word yako baada ya hapo unaweza kuacces na inakuletea tarifa zako zote za kibank

Uzuri no kwamba sasa ukiwa na bando tu la interest unafanya utakacho tofauti na NMB mobile ambayo baadhi ya mitandao ya sm iliitaji uwe na salio kwenye sm ndio uweze kuaccces NMB Mobile.
Uki update tu ni majanga
 
Back
Top Bottom