NMB kutoka Benki ya Makabwela hadi Mlipa Kodi mkubwa namba 1 nchini, legacy ya hayati Mkapa na Mzee Mbowe

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
NBC ilipogawanywa na Kuzaliwa Benki mbili NBC na NMB zilipigwa kelele nyingi Sana

Lawama nyingi zikamwendea mtemi Chenge akiwa AG wakati huo

Leo NMB Ndio inaongozwa kwa kulipa Kodi TRA

Kongole kwao Ben Mkapa na George Mbowe, wapumzike kwa amani

Ahsanteni sana πŸ˜„
 
George Mbowe ndiyo nani nchi hii? Acha kuchomeka watu wa ajabuΓ—2
 
George Mbowe ndiyo nani nchi hii? Acha kuchomeka watu wa ajabuΓ—2

..George Mbowe alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa kwanza wa Tume ya Ubinafsishaji / kurekebisha mashirika umma au PSRC.

..George Mbowe nadhani asili yake ilikuwa mikoa ya nyanda za juu Kusini. Hakuwa na mahusiano na Freeman Mbowe.
 
..ilimradi utaje jina Mbowe!!

..NBC haikubinafsishwa wakati John Rubambe akiwa Mtendaji Mkuu?

..pia usisahau lawama alizopewa Waziri wa Fedha Daniel Yona ktk ubinafsishaji wa NBC.
 
..George Mbowe alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa kwanza wa Tume ya Ubinafsishaji / kurekebisha mashirika umma au PSRC.

..George Mbowe nadhani asili yake ilikuwa mikoa ya nyanda za juu Kusini. Hakuwa na mahusiano na Freeman Mbowe.
George, Freeman na Oscar Kambona wanahusiana 🐼
 
..George Mbowe alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa kwanza wa Tume ya Ubinafsishaji / kurekebisha mashirika umma au PSRC.

..George Mbowe nadhani asili yake ilikuwa mikoa ya nyanda za juu Kusini. Hakuwa na mahusiano na Freeman Mbowe.
Kazi sana, vijana wanakurupuka tu
 
Hii kitu ilileta maneno na tukaambiwa Mkapa ameiuza hii Bank
 
Mi naingalia hii habari kwa jicho tofauti kabisaaa kama ni kweli.

Yaani, ina maanisha akina crdb wanakwepa kulipa kodi au?

Mitandao ya simu?
DP World?
TBL?
Sigara(TCC)?
Cement?
Oil and Gas entities?
Mining industries?
Etc

Unataka kusema NMB ndo mlipa kodi mkubwa nchi hii? Kwa hiyo mishahara ya watumishi wa umma?
- Basi ni bora tuwape maua yao watumishi wanaokatwa PAYE na VAT katika kila kitu.

Hii ardhi inaibiwa haswa!
 
..Yona hukuwa naye THB?🀣

..Na Mramba hukuwa naye NDC?🀣
Hapana

Wakati ule tulitambulishana kwa Majengo

Niko NIC house 🐼

Mimi Niko Bank house πŸ˜€

Miye Niko Ushirika 🀣

Mimi Niko Tancot house πŸ˜€

Naniliu yuko Kitega uchumiπŸ˜‚

Deshi Deshi yuko Custom house πŸ˜€πŸ˜€

Nk
...nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…