Inategenea na tawi uliloenda. Hiyo ya sahihi iliishawahi nitokea ila yule mhudumu ya customer care ilibidi ageuze computer nione sahihi ya zamani then nisiikosee, ila ni baada ya kuona picha iliyopo pale ni yangu.Hakuna benki ya kijinga kama hii kubadilisha sahihi tu inachukua miaka 2 nilipotezaga kadi ya benki nilipata shida sana kila siku kutoa hela ndani mara wanauliza sahihi haifanani onana na meneja...nashukuru niliikausha akaunti sasa hivi wamebaki kutuma ujumbe mara usitaje namba yako ya siri etc etx
Tunapewa fundisho la kuanza kutunza pesa kwenye kibubu
Juzi nimesoma comment mmesema umefita gharama za kutoa fedha, kuhamisha fedha, gharama za kumiliki akaunti kila mwezi lakini sio kweli kwanini mnadanganya umma?
Ukisoma gazeti la mwananchi la Leo tarehe 30/01/2019 yenye kichwa Cha habari minimus disclosure of bank charges and fees hakuna Cha bure kwa mfano
1. Maintainance fee ni 1900 kabla ya vat Hadi
2. Statement shs 3,900 Hadi 212,400 kabla ya vat
3. Kutoa fedha shs 4,012 Hadi 120,000
4. Kufunga akaunti shs 9,440
Ukweli wenu ni Upi?
where can i get this?? nmechoka kudeposit buku afu nakuja ku withdraw jeroWatutolee uchuro wao,
Nowadays zimekuja "Private Safe with built in ATM" Zinauzwa bei Chee.
Tutahifadhi pesa zetu humo.
Ikishndikana ,
Tutaziweka kwenye MAJABA kama KAKOBE.
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna baadh ya mikoa/maeneo hii bank haipo kwa hyo watu wanakimbilia nmb crdb kwa sababu ya urahis wa upatkanaji wa ATM zakeUSHAWAHI WEKA EQUITY BANK..KUFUNGUA ACCOUNT BURE HAMNA MAKATO YA MWEZI IWE ACCOUNT YA USD AU TSH SIDHANI KAMA KUNA BANKI IPO CHEAP ZAID YAKE@Victor wa happy,
READERS ARE LEADERS
cc
VITABU