NMB makato ya uwakala

NMB makato ya uwakala

Ditex

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2018
Posts
284
Reaction score
887
Wakuu naombeni mnisaidie mambo mawili

1. Makato mapya ya uwakala nataka nifahamu, maana nilitoa pesa 1,700,000 wamekata 11,500.

2. Pia naomba nijue kupata taarifa fupi za mwezi za miamala za akaunt yangu , kwenye app wananipa za muda mfupi tu
 
Kwenye App nenda sehemu wameandika TAARIFA KAMILI then clip hapo, utaandika tarehe za miamala unayotaka then mzigo unakuja chap tu.
 
Mimi jana nmetoa 50k wamekata 5k nikabakia kusema tu huu wiz sasa bas
 
NMB ndio Benki inaongoza kuwa na makato makubwa kuliko zote hasa kama unatoa zaidi kwa mawakala nashauri tumia ATM kama unatoa pesa
 
NMB ndio Benki inaongoza kuwa na makato makubwa kuliko zote hasa kama unatoa zaidi kwa mawakala nashauri tumia ATM kama unatoa pesa
Kushinda crdb kuangalia salio tu 3k
 
Back
Top Bottom