NMB Mkononi ina shida gani..?

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Wakuu, Jana nimekwenda kwa wakala kutoa hela ya mboga kidogo kama 400k ila nashangaa hadi leo hii sijapata SMS kwenye simu yangu kutoka NMB mkononi na nimejiunga toka kitambo na kila transaction niliyokuwa nafanya awali nilikuwa na pata SMS.
Hii inakuwaje wataalam maana napenda sana hii issue inaniweka aware kabisa kuhusu mihamamala ya account yangu.
 
Hua sipendi dharau kama hizi
 
Nanukuu"hela ya mboga kidogo kama 400k" uchumi wa katitujitahidi kuchangia tozo ili watoto wa wakulima wasome
 

Mshamba sana we jamaa
 
Maisha haya!!
Mshahara wangu wa miezi miwili kwa mwingine ni hela kidogo ya mboga! Ngoja tuendelee kupambana.
 
Kunasikuutapigwa ela ukae miezi 2 ndoujue ela ya mboga na nmb mobile vizuri
 
Mi nimefanya malipo ya serikali kupitia Simbanking ila hadi sasa hivi sijapata sms.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…