Estone JF-Expert Member Joined Feb 6, 2012 Posts 622 Reaction score 630 Jul 31, 2020 #21 Siyo kweli ila ni 16% Crdb wanakwambia ukitaka pesa kubwa inaenda mpaka miaka saba ukisema punguza miaka utaambia punguza kiwango cha mkopo badala ya kuongeza makato kwenye salary
Siyo kweli ila ni 16% Crdb wanakwambia ukitaka pesa kubwa inaenda mpaka miaka saba ukisema punguza miaka utaambia punguza kiwango cha mkopo badala ya kuongeza makato kwenye salary
Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,239 Reaction score 11,731 Jul 31, 2020 #22 Allan Clement said: 17% Click to expand... + processing fee ndio majanga zaidi