NMB Mobile haipatikani

NMB Mobile haipatikani

Mkuu THE STRANGER asante sana
Nimefanikiwa nashukur sana
NMB,TUPO KARIBU YAKO
 
Binafsi kila kitu kwa sasa nakimalizia kwenye ATM machine, au kwa wakala! NMB Mobile, mtanisamehe kwa muda, mpaka ile Ripoti ya Mama itoe mapendekezo yake kuhusu TOZO!!
 
Back
Top Bottom