NMB- Mobile mtatuua bure kwa presha.

NMB- Mobile mtatuua bure kwa presha.

MBUFYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2011
Posts
445
Reaction score
68
Mimi ni mtumiaji wa huduma hiyo..Jana mida ya saa 12jioni nilitumia huduma hiyo kuhamisha pesa kutoka account ya Bank kwenda M pesa, pesa bank ilihama, cha ajabu kwenye M pesa account haijafika mpaka leo..... nimepiga huduma kwa wateja nmb, majibu ninayopewa yanasikitisha na hakuna suluhisho,...Ki ukweli nimekwama mno kwani hiyo pesa inahitajika haraka, na moja kati y majibu yao...'PESA HIYO NAWEZA CHUKUA SIKU TANO ZA KAZI KURUDI'
Nataka kuwashtaki, nanze wapi wakuu?
 
naomba mwenye namba ya huduma kwa wateja airushie hapa!
 
Itabidi uvumilie 2, au angaria other source
 
Naona kama mpesa account itakuja kuwini over bank account soon.kwani mpesa haina usumbufu kama wa mabank.
 
NMB-Mobile ni huduma ya kipumbavu kuliko kawaida...walianzisha kwa malengo ya kurahisisha huduma lakini imekuwa ni kero
 
kwa kweli hiyo huduma ya nmb mobile siku hizi imekua ni majanga
 
Back
Top Bottom