NMB mshahara umeingizwa?

NMB mshahara umeingizwa?

Mshahara haujatoka.Na inasemekana Nchi imefilisika kiasi kwamba hakuna hata hele ya kuwalipa wafanyakazi.Mama anahaha auze ardhi ya wapi ili kupata pesa.
 
Unafanya kazi kwa wahindi labda salary imeshakata tayari wewe unakuja na ngonjera za kijingajinga
 
Back
Top Bottom