Unajua kwanini Generator halikuwashwa? uliuliza kwanini kama hamna umeme huduma zinasimama na ukajibiwaje? au umekurupuka tu.
Mkuu swala la kumfukuza Meneja wa Handeni umefika mbali sana, Hiyo kuna uwezekano sio fault yake yeye. fuatulia yawezekana hadi makao makuu wanajua kule kuna shida ya Generetor. Tuache kila kitu tunakimbilia JF fukuza yule!!!!
Kesho utasema Fukuza meneja wa TANESCO TANGA kwa kukata umeme.

Hilo ni moja tu...huishi handeni ndio maana unaona mtoa mada kakukurupuka...nmb Handeni kunaboa kichizi
Yani wanafanya kazi kwa mazoea ...wajeuri sana sa sijui wanakusudia ili wahamishwe? Kuna kidada kinaitwa Neema swai loo kinaboa hatari Cjui manager Anakula mzigo maana ile ni zaid ya kuzoea kazi...
So me nimemuelewa sana mtoa mada nmb Handeni wajirekebishe