NMB mtimueni Meneja wa Tawi Handeni

NMB mtimueni Meneja wa Tawi Handeni

Thegame

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Posts
2,273
Reaction score
2,398
Wakuu leo niko Handeni huku Mkoani Tanga kwenye mishe zangu!
Kutokana na business nilizofuata ikanilazimu niende bank ya NMB kufanya transaction!
Bahati mbaya nikiwa kwenye foleni nikisubiri kuhudumiwa umeme ukakatika!
Huwezi amini huduma zilisimama eti tusubiri hadi umeme urudi! Sijawahi kuona kioja hiki kwenye benki mbalimbali nilizo kwenda kupata huduma! Benki haina jenerator??
Una kaa kwenye foleni masaa karibia mawili, wamebaki watu wawili uhudumiwe umeme unakatika, usubirie umeme ambao hujui utarejea saa ngapi??
Huku ni kushindwa kazi aisee!
 
Unajua kwanini Generator halikuwashwa? uliuliza kwanini kama hamna umeme huduma zinasimama na ukajibiwaje? au umekurupuka tu.
 
Mkuu swala la kumfukuza Meneja wa Handeni umefika mbali sana, Hiyo kuna uwezekano sio fault yake yeye. fuatulia yawezekana hadi makao makuu wanajua kule kuna shida ya Generetor. Tuache kila kitu tunakimbilia JF fukuza yule!!!!

Kesho utasema Fukuza meneja wa TANESCO TANGA kwa kukata umeme.
 
Nimemuuliza hivyo ameona atukane. Watanzania itakuchukua muda sana kubadilika, mtu amekaa kwenye foleni lisaa limoja anataka meneja afukuzwe duh!!
 
Mkuu swala la kumfukuza Meneja wa Handeni umefika mbali sana, Hiyo kuna uwezekano sio fault yake yeye. fuatulia yawezekana hadi makao makuu wanajua kule kuna shida ya Generetor. Tuache kila kitu tunakimbilia JF fukuza yule!!!!

Kesho utasema Fukuza meneja wa TANESCO TANGA kwa kukata umeme.

Hilo ni moja tu...huishi handeni ndio maana unaona mtoa mada kakukurupuka...nmb Handeni kunaboa kichizi
Yani wanafanya kazi kwa mazoea ...wajeuri sana sa sijui wanakusudia ili wahamishwe? Kuna kidada kinaitwa Neema swai loo kinaboa hatari Cjui manager Anakula mzigo maana ile ni zaid ya kuzoea kazi...
So me nimemuelewa sana mtoa mada nmb Handeni wajirekebishe
 
Kama ndio hivyo mkuu basi mtoa mada alitakiwa ajenge hoja kwa kutoa habari zote. Pia wanaemail yao ya Complain zote. Tushukue jukumu lakutoa taarifa kwa uongozi wa juu. Pia haina haja ya kusema fukuza , kila kampuni inataratibu zao za nidhamu.

Kutoka website yao NMB:

Are you interested in additional information on NMB?
If you have any questions please send an email to info@nmbtz.com, complaints@nmbtz.com or write to the adress mentioned below and and we will respond to you as soon as possible.

Contact
 
Back
Top Bottom