Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Samahan mkuu, hiyo riba ni kwa mikopo ya watumishi tu au inawahusu na wafanyabiara*NMB Karibu Yako* mikopo kwa watumishi, pia tunanunua mikopo toka benki zingine.
- Riba:19% p.a(ilikuwa 22%)
- Mkopo:Tsh 50m-Tsh 150m
- Kuongeza:Baada ya miezi 6
- Muda:Miezi 72
- Unapata:Ndani ya masaa 48
- Gharama:1.5% ya mkopo
Kumbuka mkopo unapungua kadri unavyolipa. Karibuni kupata huduma kwenye tawi lolote la *NMB*
Jirani zao CRDB bank wao wako hivi
Riba - 17%
Mkopo to mil 150
Kuingeza baada ya miezi 3
Muda wa mkopo hadi miezi 84
Unapata ndani ya siku 3
Gharama ya mkopo 1.5%
Rejea post namba 8 utaona mambo hizi benki huwafanyia wateja wake.Safi sana!
Kuna mijjitu hapa itakuja kupinga wakati miaka yote ilikuwa inalalamikia riba kubwa za mabenki.
Wakitangaza hii fursa nishtueWrote hao ni walewaletu
Wangefanya utaratibu wa kulipwa madeni yao kupitia pensheni za watumishi
Wanataka iwe 00%Safi sana!
Kuna mijjitu hapa itakuja kupinga wakati miaka yote ilikuwa inalalamikia riba kubwa za mabenki.
Nikihitaji 9,000,000. kwa kiwango cha chini wanakata bei gani kila mwezi? kwa miaka 6?*NMB Karibu Yako* mikopo kwa watumishi, pia tunanunua mikopo toka benki zingine.
- Riba:19% p.a(ilikuwa 22%)
- Mkopo:Tsh 50m-Tsh 150m
- Kuongeza:Baada ya miezi 6
- Muda:Miezi 72
- Unapata:Ndani ya masaa 48
- Gharama:1.5% ya mkopo
Kumbuka mkopo unapungua kadri unavyolipa. Karibuni kupata huduma kwenye tawi lolote la *NMB*
Jirani zao CRDB bank wao wako hivi
Riba - 17%
Mkopo to mil 150
Kuingeza baada ya miezi 3
Muda wa mkopo hadi miezi 84
Unapata ndani ya siku 3
Gharama ya mkopo 1.5%
Nashindwa kuelewa maana ya riba wanacalculate vipi nilienda CRDB riba yao ni 18 but ukikopa 8.4m unalipa 13.7m sasa nabaki nimeduwaa tuu hapa!!Mapunguzo ya riba za benki zetu ni utapeli wa aina yake kwani mikataba ya ukopeshaji ya mabenki inaipa benki haki ya kipekee ya kufanya marejeo ya riba wakati mkopaji ameshaanza kulipa mkopo wake.
Niliwahi kukopa CRDB miaka ya nyuma kwa riba ya 19% lkn baada ya miezi michache baadaye wakati nikiendelea na marejesho, wakanipandishia riba hadi 21%!
Vv