NMB nao waja na punguzo la riba toka 22%-19%, wakati CRDB wameshusha toka 21%-17%

NMB nao waja na punguzo la riba toka 22%-19%, wakati CRDB wameshusha toka 21%-17%

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
4,572
Reaction score
26,885
*NMB Karibu Yako* mikopo kwa watumishi, pia tunanunua mikopo toka benki zingine.
- Riba:19% p.a(ilikuwa 22%)
- Mkopo:Tsh 50m-Tsh 150m
- Kuongeza:Baada ya miezi 6
- Muda:Miezi 72
- Unapata:Ndani ya masaa 48
- Gharama:1.5% ya mkopo
Kumbuka mkopo unapungua kadri unavyolipa. Karibuni kupata huduma kwenye tawi lolote la *NMB*

Jirani zao CRDB bank wao wako hivi

Riba - 17%
Mkopo to mil 150
Kuingeza baada ya miezi 3
Muda wa mkopo hadi miezi 84
Unapata ndani ya siku 3
Gharama ya mkopo 1.5%
 
Wrote hao ni walewaletu

Wangefanya utaratibu wa kulipwa madeni yao kupitia pensheni za watumishi
 
Tunashukuru mabenk hasa ya kizalendo kuonyesha alama kujali,japo ni kundi dogo sana.Bado serikali inapaswa Fanya kusudi kuamsha sector mkakati kuamsha uchumi.Kilimo,ufugaji,madini nk.Utafiti,ardhi na mitaji ya mashariti nafuu kutengeneza mabepari wengi wa kitanzania,ili watoe ajira za uhakika na kodi.
 
*NMB Karibu Yako* mikopo kwa watumishi, pia tunanunua mikopo toka benki zingine.
- Riba:19% p.a(ilikuwa 22%)
- Mkopo:Tsh 50m-Tsh 150m
- Kuongeza:Baada ya miezi 6
- Muda:Miezi 72
- Unapata:Ndani ya masaa 48
- Gharama:1.5% ya mkopo
Kumbuka mkopo unapungua kadri unavyolipa. Karibuni kupata huduma kwenye tawi lolote la *NMB*

Jirani zao CRDB bank wao wako hivi

Riba - 17%
Mkopo to mil 150
Kuingeza baada ya miezi 3
Muda wa mkopo hadi miezi 84
Unapata ndani ya siku 3
Gharama ya mkopo 1.5%
Samahan mkuu, hiyo riba ni kwa mikopo ya watumishi tu au inawahusu na wafanyabiara
 
Riba zimeshushwa,
Mkopo sawa!
Tatizo linakuja ni biashara gani inalipa kwa sasa, nikope???
?
?
?
Hali haisomeki
 
Mapunguzo ya riba za benki zetu ni utapeli wa aina yake kwani mikataba ya ukopeshaji ya mabenki inaipa benki haki ya kipekee ya kufanya marejeo ya riba wakati mkopaji ameshaanza kulipa mkopo wake.

Niliwahi kukopa CRDB miaka ya nyuma kwa riba ya 19% lkn baada ya miezi michache baadaye wakati nikiendelea na marejesho, wakanipandishia riba hadi 21%!

Vv
 
Nina mkopo CRDB na Mie nitakuwa mnufaika au Kwa wakopaji wapya tu? Nikitop up nipate kama Laki moja tu mkononi ila lengo liwe ni kuhamia kwenye riba mpya si inawezekana?
 
*NMB Karibu Yako* mikopo kwa watumishi, pia tunanunua mikopo toka benki zingine.
- Riba:19% p.a(ilikuwa 22%)
- Mkopo:Tsh 50m-Tsh 150m
- Kuongeza:Baada ya miezi 6
- Muda:Miezi 72
- Unapata:Ndani ya masaa 48
- Gharama:1.5% ya mkopo
Kumbuka mkopo unapungua kadri unavyolipa. Karibuni kupata huduma kwenye tawi lolote la *NMB*

Jirani zao CRDB bank wao wako hivi

Riba - 17%
Mkopo to mil 150
Kuingeza baada ya miezi 3
Muda wa mkopo hadi miezi 84
Unapata ndani ya siku 3
Gharama ya mkopo 1.5%
Nikihitaji 9,000,000. kwa kiwango cha chini wanakata bei gani kila mwezi? kwa miaka 6?
 
Mapunguzo ya riba za benki zetu ni utapeli wa aina yake kwani mikataba ya ukopeshaji ya mabenki inaipa benki haki ya kipekee ya kufanya marejeo ya riba wakati mkopaji ameshaanza kulipa mkopo wake.

Niliwahi kukopa CRDB miaka ya nyuma kwa riba ya 19% lkn baada ya miezi michache baadaye wakati nikiendelea na marejesho, wakanipandishia riba hadi 21%!

Vv
Nashindwa kuelewa maana ya riba wanacalculate vipi nilienda CRDB riba yao ni 18 but ukikopa 8.4m unalipa 13.7m sasa nabaki nimeduwaa tuu hapa!!
 
Back
Top Bottom