NMB rudisheni huduma ya salary advance

NMB rudisheni huduma ya salary advance

NMB, wameondoa huduma ya salary advance bila taarifa yoyote kwa wateja. Tunaomba taarifa itolewe au huduma irudishwe.
Za ndaaaaaani salary advance zitaanza kutoka Januaryi 7 ili mnunulie watoto mahitaji ya shule kwa maana shule zitafunguliwa tarehe 13/1/2025!
 
yaani nikiona mtu anateseka n maswala ya mshahara nacheka sana japo sio mazuri
 
Ipo mkuu, sema haifanyi kazi hadi masaa 24 yapite tokea mshahara uingie.
Hawa jamaa siku hizi wamekuwa wa hovyo sana. Hata huduma ya Mshiko Faster nayo ni majanga. Unalipa halafu ukiomba tena hawakupi wanakuja na hoja dhaifu mara miamala imepungua ndio maana hupati na porojo nyingine nyingi tu.
 
NMB luku payment system has also failed since yesterday. Call Centre/Customer Care has also gone on Xmas leave
 
Back
Top Bottom