NMB Bank mko makini kwenye uuzaji wa shares zenu? Mbona mnatufanya waanachi mambubumbu? Tangu lini shares zikauzwa bila "prospectus". Tukiwauliza watendaji wenu wanasema eti "safari hii mmetoa leafet/vipeperushi tu! Kwa mtu yoyote anayejua maana ya hisa haiwezekani ununue hisa kwa kutumia "kipeperushi". Kama hamko tayari mtuambie tusubiri hizo "prospectus".
Mama lao, pole sana, wanataka wakupe leaflets ndo ufanyie maamuzi ya kununua hisa? kweli hiyo ni mbaya. Lakini uwe makini pia, hasa na brokers. Ukienda kwa broker wa maana watakupa prospectus. Hata hivyo, serikali ndiyo inayouza hisa zake katika NMB. NMB wenyewe (workers) they may be care less given the existing crisis btw the government and workers.NMB Bank mko makini kwenye uuzaji wa shares zenu? Mbona mnatufanya waanachi mambubumbu? Tangu lini shares zikauzwa bila "prospectus". Tukiwauliza watendaji wenu wanasema eti "safari hii mmetoa leafet/vipeperushi tu! Kwa mtu yoyote anayejua maana ya hisa haiwezekani ununue hisa kwa kutumia "kipeperushi". Kama hamko tayari mtuambie tusubiri hizo "prospectus".
NMB Bank mko makini kwenye uuzaji wa shares zenu? Mbona mnatufanya waanachi mambubumbu? Tangu lini shares zikauzwa bila "prospectus". Tukiwauliza watendaji wenu wanasema eti "safari hii mmetoa leafet/vipeperushi tu! Kwa mtu yoyote anayejua maana ya hisa haiwezekani ununue hisa kwa kutumia "kipeperushi". Kama hamko tayari mtuambie tusubiri hizo "prospectus".
NMB Bank mko makini kwenye uuzaji wa shares zenu? Mbona mnatufanya waanachi mambubumbu? Tangu lini shares zikauzwa bila "prospectus". Tukiwauliza watendaji wenu wanasema eti "safari hii mmetoa leafet/vipeperushi tu! Kwa mtu yoyote anayejua maana ya hisa haiwezekani ununue hisa kwa kutumia "kipeperushi". Kama hamko tayari mtuambie tusubiri hizo "prospectus"
Tahadhari uliyotoa ni nzuri ILA si kweli ya kwamba hawatoi prospectuses. Rejea majibu ya Mbalamwezi. Inawezekana ulikutana na watendaji wasio na ufahamu wa kutosha wa haya mambo au zilikuwa zimekwisha,n.k. Mimi ninazo prospectuses za NMB na nimegaiwa na broker.
Kwa ushauri tu, mwenye nia ya kununua hisa za NMB afanye hivyo hima. Suala la Prospectus ni uzembe tu somewhere. Ila naomba usiitumie kama njia ya kuzira kununua hisa hizo.
By the way, hawa DSM Stock Exchange na Capital Market Authority wanashindwaje kusimamia a simple issue kama hilo!!
Eddy , NICOL waliwahi kutoa gawio...sh 9 per share mwaka 2007?not sure kwa mwaka. Tayari NICOL wako listed DSE hisa yao ni kama sh 330...Kuna tetesi nilini NMB watakuwa sokoni? nilinunua hisa za NICO hadi leo hawajaingia sokoni wala hakuna gawio! sijui nilishaliwa tajari.
Wakuu hata mimi nilienda NMB Bank House nikawataka wanipe Prospectus, nikaambiwa huwa wanawapa Corporate Customers!!!! hawawezi kumpa kila mtu? nikakomaa ndipo wakanipa a Swahili summarised Prospectus. Nikaenda kwa broker wangu alinipa full huge English version Prospectus. Nimesoma kwa undani, NMB wanapata faida ila devidends zao ni kidogo sana. sielewwi tatizo. Hata hivyo, kama walivyosema wenzangu NMB is promsing Bank, share lazima zitakuwa hot kwenye Secondary market na ndiko huko tutegemee faida na si kutegemea sana dividends. Ila elimu itolewe watu wasikurupuke kuuza hisa mapema, hazilipi sana. anyway, kama ni investor na ana quick return business activity hatapenda sana pesa yake ikae muda mrefu akisubiri bei ipande. Ila kwa wale ambao wanapenda kuweka fedha fixed accounts, my GOd hailipi ni unyonyaji afadhali ununue hisa. Hata hivyo, share trading is a Speculative Investment, anything can happen!! Reaping faida or Hasara. Get enough advice from your business consultant. Thanks.