Wakuu hata mimi nilienda NMB Bank House nikawataka wanipe Prospectus, nikaambiwa huwa wanawapa Corporate Customers!!!! hawawezi kumpa kila mtu? nikakomaa ndipo wakanipa a Swahili summarised Prospectus. Nikaenda kwa broker wangu alinipa full huge English version Prospectus. Nimesoma kwa undani, NMB wanapata faida ila devidends zao ni kidogo sana. sielewwi tatizo. Hata hivyo, kama walivyosema wenzangu NMB is promsing Bank, share lazima zitakuwa hot kwenye Secondary market na ndiko huko tutegemee faida na si kutegemea sana dividends. Ila elimu itolewe watu wasikurupuke kuuza hisa mapema, hazilipi sana. anyway, kama ni investor na ana quick return business activity hatapenda sana pesa yake ikae muda mrefu akisubiri bei ipande. Ila kwa wale ambao wanapenda kuweka fedha fixed accounts, my GOd hailipi ni unyonyaji afadhali ununue hisa. Hata hivyo, share trading is a Speculative Investment, anything can happen!! Reaping faida or Hasara. Get enough advice from your business consultant. Thanks.