Nmb tawi la Bunda

jaffari odhiambo

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
526
Reaction score
13
Nmb tawi la Bunda huduma yake sio nzuri ila kuna dada mmoja amenihudumia leo anaitwa Anna nimefurahia huduma yake maana hanuni wala hajibu vibaya japo wateja kwenye meza yake walikuwa wengi. Kuna mama mmoja wa makamu ana majibu mabaya maana mteja ameomba kumuuliza jambo akakataa na kumwambia aende kwa Anna na wakati huo Anna alikuwa na wengi. Kwa kweli sikufurahishwa na majibu ya huyo mama wa Makamu. Kawaida msikilize mteja na endapo suala lake liko nje ya uwezo wako ndo umpeleke /umuelekeze pengine sio kumrusha kabla ya kusikisliza.
 
Huyo mama mdomo ndo kawaida yake, mara nyingi sijui anaitwa mama mchungi ,kama sikosei ana majibu ya mwaka hujapata kuona, sidhani kama ni professional banker hana ethics za customer care haswa huduma za ki bank ambazo zinatakiwa kuwa friendly
 
Huyo mama mdomo ndo kawaida yake, mara nyingi sijui anaitwa mama mchungi ,kama sikosei ana majibu ya mwaka hujapata kuona, sidhani kama ni professional banker hana ethics za customer care haswa huduma za ki bank ambazo zinatakiwa kuwa friendly


Huyo mama ni mzee hivi huwa ana majibu mabaya na majivuno juu pia kuongea na simu tu kila wakati. Mambo ya customer care hajui maana kama ni kazi ya mtu binafsi hawezi kudumu. Hata mie tabia yake huwa hainifurahishi.
 
Acheni lawama za kinafiki, ndio maana kuna foleni..tayari wa kuulizwa yupo kwanini asisubiri.
 
Huyo dada anaitwa ANNA PETRO anatoa huduma yake vizuri sana na hana majivuno hata kidogo. Naipenda sana huduma yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…