jaffari odhiambo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 526
- 13
Nmb tawi la Bunda huduma yake sio nzuri ila kuna dada mmoja amenihudumia leo anaitwa Anna nimefurahia huduma yake maana hanuni wala hajibu vibaya japo wateja kwenye meza yake walikuwa wengi. Kuna mama mmoja wa makamu ana majibu mabaya maana mteja ameomba kumuuliza jambo akakataa na kumwambia aende kwa Anna na wakati huo Anna alikuwa na wengi. Kwa kweli sikufurahishwa na majibu ya huyo mama wa Makamu. Kawaida msikilize mteja na endapo suala lake liko nje ya uwezo wako ndo umpeleke /umuelekeze pengine sio kumrusha kabla ya kusikisliza.