KERO NMB uhakiki mnatutesa

KERO NMB uhakiki mnatutesa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

julaibibi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2020
Posts
3,081
Reaction score
4,224
Hivi kuwaita wateja na huduma kwa wateja wenu wamezidiwa, tunaweka foleni kama kitu gani wengine wagonjwa. Kwanini isiwe madawati kila mahali hadi kwenye vituo kupunguza foleni. Foleni kubwa sana mpaka imekuwa mateso, wateja wengi hivi mtatuweka sana.

Tunachoka, ntakuja kesho
 
Bora umeliongelea hili mkuu, nilienda last week pale mlimani aisee watu ni wengi wahudumu wachache nilisimama almost masaa mawili foleni haisogei😒

Waangalie hili zoezi wanalifanyaje bila kuumiza watu.
 
Hii taarifa walishaanza kutoa karibia miezi mitatu nyuma
Lakn kama kawaida watu wanasubiri mpka dk za mwisho
Hivi hizi taarifa wanazotaka ukahakiki ni za nini maana mtu kama anachangamoto kwenye account yake si atafika yeye mwenyewe. Nimewaza sana hadi nikawahisia ndivyo sivyo anaefahamu naomba anipe elimu kidogo.
 
Back
Top Bottom