Kama unaitumia hiyo bank kwa sana lazima uwahi chap, kuepuka usumbufu.Sms za uhakiki nazipata ila nimezipuuza kumbe kuna watu mko nazo serious
Hivi hizi taarifa wanazotaka ukahakiki ni za nini maana mtu kama anachangamoto kwenye account yake si atafika yeye mwenyewe. Nimewaza sana hadi nikawahisia ndivyo sivyo anaefahamu naomba anipe elimu kidogo.Hii taarifa walishaanza kutoa karibia miezi mitatu nyuma
Lakn kama kawaida watu wanasubiri mpka dk za mwisho
Mada siyo ATM machineNi kawaida ya atm Za namba kujaza watu na mafoleni ndio maana nikaikimbia sasa hivi nipo crdb
Upo sahihihivi kuwaitq wateja na huduma kwa wateja wenu wamezidiwa.tunaweka folen kama kitu gan wengine wagonjwa. kwann isiwe madawat kila mahal hadi kwnye vituo kupuguza folen. foleni kubwa sana mpaka imekua mateso.wateja weng hivi mtatuweka sana.tunqchoka.ntakuja kesho
Sijasema kama mada ni ATM machineMada siyo ATM machine
Mie ndio huwa naona kama hazinihusu🤣🤣🤣Sms za uhakiki nazipata ila nimezipuuza kumbe kuna watu mko nazo serious