KERO NMB uhakiki mnatutesa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Wakifunga nikienda siendi kuirenew naenda kudai hela iliyo ndani alafu nawaambia waifute kabisa.

Hela zangu wazikatakata kila siku bila sababu za msingi na bado wanipotezee na muda!!!!!
 
Wangefanya uhakiki kuwa endelevu,hivi walimu wote,wafanyakazi wote wanaochukulia mshahaara NMB wote waje ofisini kuhakiki taarifa zao hivi mbona kero hii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…