TLAWI AKONAAY
Senior Member
- Sep 16, 2016
- 110
- 62
taasisi ya fedha yaongeza kiwango cha riba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukisoma vizur mkataba kuna kipengele kinachowaruhusu kuongeza Riba muda wowote kutegemeana na hali ya uchumi???TANGAZO HILI LINAWAHUSU WOTE WALIOKOPA NA WANAOTARAJIA KUKOPA.
Ina maana hata ambao Walikopa kwenye 18%wanahusika kwenye hiyo 22%?
Huo ndio ujinga wa mabenki, they only about profitsTANGAZO HILI LINAWAHUSU WOTE WALIOKOPA NA WANAOTARAJIA KUKOPA.
Ina maana hata ambao Walikopa kwenye 18%wanahusika kwenye hiyo 22%?
Hapo ndipo unapogundua kuwa benki ni wizi uliohalalishwaukisoma vizur mkataba kuna kipengele kinachowaruhusu kuongeza Riba muda wowote kutegemeana na hali ya uchumi???
Ha ha ha ha ha ha ha ni kweli kabisa ndugu. Yaani benki tanzania ni miongoni mwa mifumo ya udhurumishi na utapeli kiwango cha kimataifa.Mikopo ya benki za Tanzania labda uwe unauza bangi ndiyo utaweza kulipa,Riba zake kubwa sana.(J.K.Nyerere)
So, wataka nambia bado tupo katika mkakati wa kupunguza mzunguko wa pesa ili fedha ipande thamani, maana kwakweli hadi sasa imeanza kupanda thamani taratibu.Hivi Discount rate ya BOT ni ngapi?.. anyways BOT yenyewe nasikia ndo inataka kukopa (issuing treasury bills & bonds) so lazima interest zipande tu.. tupo katika contractionary fiscal policy. nili expect interest rates zitapanda ila sikudhani kam itakua this soon.
NMB ni benki ya kienyeji sana. Usishangae wakaprint tangazo kwenye karatasi ambayo inachata ya kampuni nyingine.Kuna mchezo hapa unafanywa na hawa akina BBlue, Faidika, Bayport nk. Siamini kama hii hili ndio tangazo la benki makini....yaani karatasi zenye nembo ya benki zimeisha?