tatamajuva
Member
- Sep 11, 2019
- 74
- 84
Inabidi tuanze kuondoa pesa zetu huko.NMB imesitisha rasmi huduma ya salary advance kwa mwezi June, 2022.
Hii night kutokana na kukopwa kwa kiasi kikubwa na kusababisha kushindwa kujiendesha.
Mtumishi mmoja wa NMB amesema Hali ni Tete katika bank hiyo.
huyo atakuwa kafeli yeye kupata mkopo!NMB washindwe kujiendesha kwa sababu ya Salary advance? Kwanza ni mkopo ambao bank inauhakika wa kuurejesha Kila mwezi kwa asilia 100% lamda tu iwe mfanyakazi hajalipwa na serekali mwezi husika. Pili ni biashara yenye faida sana coz ndani ya mwezi mmoja wanazalisha faida ya kutosha kutokana na riba zao.
NMB imesitisha rasmi huduma ya salary advance kwa mwezi June, 2022.
Hii night kutokana na kukopwa kwa kiasi kikubwa na kusababisha kushindwa kujiendesha.
Mtumishi mmoja wa NMB amesema Hali ni Tete katika bank hiyo.
Wanaojilipa mapema ni wasiojali riba.Wahuni walikuwa wanajilipa mapema sana😂😂😂
Duh hatariNMB imesitisha rasmi huduma ya salary advance kwa mwezi June, 2022.
Hii night kutokana na kukopwa kwa kiasi kikubwa na kusababisha kushindwa kujiendesha.
Mtumishi mmoja wa NMB anadai hali ni Tete katika bank hiyo.
acha uongo, huduma bado ipoNMB imesitisha rasmi huduma ya salary advance kwa mwezi June, 2022.
Hii night kutokana na kukopwa kwa kiasi kikubwa na kusababisha kushindwa kujiendesha.
Mtumishi mmoja wa NMB anadai hali ni Tete katika bank hiyo.