ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Sawa, afisa masoko wa hovyo.Mastabata kotekote ndio mchongo wa kijanja, tumia NMB Mastarcard kufanya malipo na ujishindie pesa taslimu, pikipiki au safari ya Dubai.
[emoji3062][emoji3062][emoji3062][emoji3062][emoji3062][emoji3062]
Tena wahovyo kuwahi tokeaKumbe ni mfanyakazi wa benki.
Sawasawa kabisa, why Dubai (wasione vyaelea), na tunaserengeti yetu na ngorongoroSawa, afisa masoko wa hovyo.
Kwa nini iwe safari ya Dubai? Na siyo safari ya Mbuga zetu za wanyama ili kuchagiza ukuaji wa Sekta ya Utalii nchini?
Mbona Ghafla hivi kwani, CCM wamekuchosha au wamekutosa?Mastabata kotekote ndio mchongo wa kijanja, tumia NMB Mastarcard kufanya malipo na ujishindie pesa taslimu, pikipiki au safari ya Dubai.
[emoji3062][emoji3062][emoji3062][emoji3062][emoji3062][emoji3062]
Uzi wa kujipatia mademMastabata kotekote ndio mchongo wa kijanja, tumia NMB Mastarcard kufanya malipo na ujishindie pesa taslimu, pikipiki au safari ya Dubai.
[emoji3062][emoji3062][emoji3062][emoji3062][emoji3062][emoji3062]