Troyes
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 1,372
- 1,154
Mtoto anaweza kuwa na chango linaloweza kusababisha hali, si rahisi kupoteza uwezo wake bila sababu kama mwanzoni jogoo alikua anawika vizuri.Habar za mida...wakuu
Kuna kitu mke wangu..amenambia nkajikuta naishiwa nguvu kabisa
Nmeoa na tuna watoto wawili
Wakike na wakiume
Wakiume ana umri wa miezi sita sasa..anaelekea wa saba by January 2024
Jana wife... Kanambia kuna ktu amegundua kwa huyu mtoto wa kiume
Na ishu yenyewe ni kwamba....uume wake n muda sasa
Hajawah ushuhudia ukiwa umesimama!!!!
..
Anahisi asimamishi!! Kaisha chunguza saaaana kwa ukaribu
..
Naombeni ushauri....kwa utaalam..na uzoefu mlonao pia
Mnahisi ishu kama hii .........naimalizaje MWENZENU!!!!!!!!!
Kuwa wazi mwanzoni jogoo alikua anawika vzr??? Km jibu ni Yes, hiyo ni ishu ndogo tu kwa wataalam muhimu kuiwahi hiyo hali mapema.