Yaan huwez amin,nahitaj utuliv wa hal ya juu,..yaan nataka nikae ndan tuu wik nzima hii hata kutoka nje stak,the yr was rough ,ndo napumzika nw,hata ndugu zangu wanaelewa hili.so nao wameridhia kunipa a break,tunawasiliana kwenye sim inatoshaMmh uchoyo huo ungeita hta ndugu au rafiki yako. sikukuu yote hii upo alone.tchaaah!