Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 16,036
Aisee sjawai kua na furaha na aman kama hiz siku nne na nmewambia narud tareh mbili,hahaha,kumbe niko alone home kwangu ni muvi,Natgeo,discovery,kina kardashian,yaan,najipikia makuku tu,raha sana,hahahah,.kumbe sometime hatuwahitaj eeh.nmegundua hili
.
.