Nna mimba. . .

Dr Lizzy

Platinum Member
Joined
May 25, 2009
Posts
31,009
Reaction score
60,629
Haijalishi uliikimbia, mliishia kutoa ama mlilea. Siku mwenzio alipokwambia "Nna mimba". . . "Nahisi/nadhani nna mimba!" ulijisikiaje?

Na wewe mdada/mama ulipogundua/hisi una mimba ulijisikiaje?

Mawazo gani yaliwapitia kichwani??


Just CURIOUS. . . .
 
Jibu lililonijia kichwani mara ya kwanza.....kaitoe(joke)!!!
 
Jibu lililonijia kichwani mara ya kwanza.....kaitoe(joke)!!!

Kua serious basi. . . .
Alafu useme kabisa uliishia kukimbia, kutoa au kulea?
 
lol...Lizy nidhani we ndo una mimba. Mi nilifurahi sana na ilipokelewa kwa shangwe kubwa.
 
Heee kumbe unafanya matusi kavu kavu kudadadeki
 
mmmhhh Lizzy wiki hii....jana mada 'mimba'...leo mada ...'nna mimba',am i smelling something here?
(just thinking aloud)!
 
Nilishangaa sana maana ilikuwa siku moja tu na tulitumia kinga!
 
mi nilimwambia acha ujinga, nikamwambia we si ulikuwa na yule mchizi kwani umemwambia na yeye!?
 
mmmhhh Lizzy wiki hii....jana mada 'mimba'...leo mada ...'nna mimba',am i smelling something here?
(just thinking aloud)!

Bishanga natarajia. . .ni siku tu nahesabu.

@Taijike. . . Hongera mwaya!!
 

Sema Lizzy unamimba unaogopa kumwambia jamaa yako unatafuta majibu kwanza kwa wanaJF.Mwambie tu unamimba acha uhoga bana...eeeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…