Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,861
Haijalishi uliikimbia, mliishia kutoa ama mlilea. Siku mwenzio alipokwambia "Nna mimba". . . "Nahisi/nadhani nna mimba!" ulijisikiaje?
Na wewe mdada/mama ulipogundua/hisi una mimba ulijisikiaje?
Mawazo gani yaliwapitia kichwani??
Just CURIOUS. . . .
...mnh, nahisi kama kuna mtu kaniharibia Lizzy wangu,
mimba, mimba, mimba....khaaaaa?