Nna mimba. . .

Dah!mie hiyo situation sijakutana nayo bado,
Hope ikinikuta nitakua na majibu lol!
 
Hahahahaha. . .
Hapo mtoto angezaliwa sijui angekwambia ni premature. . .? Kweli wadada wengine ni noma.

Mi nakwambia ilikuwa balaa! Afu hata aibu hakuona maana tulikuwa ofisi moja akawa anakuja tuuuuuuuuuu! Mwisho haikuwepo tena! Nafikiri alifanya yale mambo yale ya uuaji! Afadhali hata nilihamishiwa mkoani!
 
nilisema huyu ndo baba wa mtoto wangu? Damn! iam super stupid!!!!!!!!!!(natania loh!!!!!!!!!!)
 
At the first time nilishtuka, ila km baada ya dakika moja niliona hakuna sababu ya kushtuka coz it's not a crime nikaamua kumpigia simu kumpongeza kwa ujauzito japo alikuwa ananitega na hakua na mimba hata kidogo.
 
Hahhhhaaaaaa alitaka kukuuzia mbuzi kwenye kiroba huyo.....


 
baada tu ya kusex nikamuambia inawezekana nikapata mimba hizi tarehe sio nzuri, akavaa suruali chapchap akaondoka bila kusema neno, na toka siku hiyo hakupokea simu, na mimi baada ya hapo nikapitia pharmacy nikanunua vidonge fulani hivi vya kuzuia mimba, sikupata mimba, baada ya miezi miwili ya bila mawasiliano jamaa akanipigia simu akinitaka tuonane aili anipeleke kwa doctor anaye mjua ili nitoe mimba, nilimkubalia ila sikwenda na nikabadili line ya simu,mapenzi yakaishia hapo

siku hizi tunaonana ila hajui kma nilizaa au ilikuwaje kwa ile mimba nlomwambia
 

huyo alikuwa anataka kupunguza kipururu chake tu kama angekuwa na mipango ya kutunza angekuambia tu..
 

Pole mkuu wadada wengine wapu:-*:-*sana
 
lizzy nikuulize kitu?

Una mimba? Maana thread za mimba hizi mmmmh!!???
 
kuna dada nilimsindikiza kufanya ultrasound mimba yake ikiwa na wiki 12/miezi 3.Alivyomuona mwanae kwenye screen akafurahi hadi machozi yakamtoka.Yaani ni miezi mitatu lkn anaonekana ni mtoto kabisaa.Alikua na furaha saana,na alikua anatuambiaga hiyo ndio mimba yake ya kwanza.Hapo hospital wakampa kijitabu kinachoelezea jinsi mtoto anavyokua huko tumboni ktk kila miezi.Basi akawa anasoma sehemu inayoonesha uwezo alionao mtoto wa miez mitano huko tumboni,kijitabu kilionesha kuwa mtoto wa miez mitano ni mtoto aliyekamilika karibu kila kitu na pia anauwezo wa kuisikia sauti ya mama yake na kuikumbuka.Sasa huyu dada alipofikia hapo akaanza kulia kwa uchungu sana.Akaniambia alishawahi kutoa mimba ya miez mitano hivyo roho inamuuma kujua kuwa kumbe aliua mtoto aliyekamilika kabisa maana eti yeye alijua mimba ya miez mitano kwenda chini ni madamu damu na manyama nyama tu.Kwa kweli nilijisikia vibaya na huyu dada hakuwahi kuniambia hii siri ila damu ya yule kiumbe aliyemuua inamfanya aanze mwenyewe kusema kuwa alishaua mtoto.
 
Nilifurahi sana, na ndiyo moja ya sababu iliyopelekea nimuoe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…