NNA PRESHA AFU NIMEBETI

NNA PRESHA AFU NIMEBETI

sukariyawarembo

Senior Member
Joined
Aug 2, 2019
Posts
167
Reaction score
115
Wanajamvi habar zenu.

Aisee mimi leo nimebeti,,sijabeti takriban miaka 2 sasa leo nmepata hela ya ziada na haina kazi(nimehongwa),sasa nikaamua nibeti timu nne tu.

Barca
Juve
Man city
PSG.

Zote kushinda kwa dau la laki moja.,

Sasa wadau naombeni mnipe moyo maana nna presha atari,apa ata mechi hazijaanza nmeanza kuwa na presha.

Ushauri wenu jaman.
 
Odds ni ngapi ?
Faida ya kama utashinda hizo zote ni ya kutosha kuliko emotional roller-coaster uliyonayo hapo ?

Tatizo kubwa zaidi ni mfano ukishinda leo utavimba kichwa huenda wiki kesho ukaweka dau la 1 m...

Pia kwanini uweke man city kama odds zake ni 1.2 au kama hizo kumbuka hapo kwenye laki nzima una kama elfu 20 tu...,(ukitoa kodi 20% ni majanga zaidi) je kuna faida kweli ya kupoteza dau kwa faida ya peanuts kama hio ?
 
Faida ipo nyingi sana mkuu kuliko emotion nnazozipata,,faida ni laki moja na sitini.
 
Faida ipo nyingi sana mkuu kuliko emotion nnazozipata,,faida ni laki moja na sitini.
faida laki na sitini against kupoteza laki na kupata presha as well as kuwa addicted
Hio ndio mizani halisi..

Tofauti na ungekuwa unafanya kwa starehe / leisure hapo kungekuwa hakuna hasara as pesa unayoweka inakuwa ni kama pesa mtu anayotoa kwenda kupata kilaji
 
Wanajamvi habar zenu.

Aisee mimi leo nimebeti,,sijabeti takriban miaka 2 sasa leo nmepata hela ya ziada na haina kazi(nimehongwa),sasa nikaamua nibeti timu nne tu.

Barca
Juve
Man city
PSG.

Zote kushinda kwa dau la laki moja.,

Sasa wadau naombeni mnipe moyo maana nna presha atari,apa ata mechi hazijaanza nmeanza kuwa na presha.

Ushauri wenu jaman.
game nne una presha wadau hapa tusemeje ss
MULTI BET (16)
Real Madrid – Levante
×
3 Way
Ume Chagua: Real Madrid
1.25
Liverpool – Newcastle
×
3 Way
Ume Chagua: Liverpool
1.14
Manchester Utd – Leicester
×
3 Way
Ume Chagua: Manchester Utd
2.09
Wolverhampton – Chelsea
×
Double Chance
Ume Chagua: X OR 2
1.42
Sheffield Utd – Southampton
×
Double Chance
Ume Chagua: 1 OR X
1.40
Brighton – Burnley
×
Double Chance
Ume Chagua: 1 OR X
1.30
Tottenham – Crystal Palace
×
3 Way
Ume Chagua: Tottenham
1.45
Norwich City – Manchester City
×
3 Way
Ume Chagua: Manchester City
1.09
Real Sociedad – Atletico Madrid
×
3 Way
Ume Chagua: Atletico Madrid
2.23
Barcelona – Valencia
×
3 Way
Ume Chagua: Barcelona
1.55
Borussia Dortmund – Bayer Leverkusen
×
Double Chance
Ume Chagua: 1 OR X
1.28
RB Leipzig – Bayern Munchen
×
Double Chance
Ume Chagua: X OR 2
1.28
Fiorentina – Juventus
×
3 Way
Ume Chagua: Juventus
1.80
Napoli – Sampdoria
×
3 Way
Ume Chagua: Napoli
1.25
Inter – Udinese
×
3 Way
Ume Chagua: Inter
1.40
Paris St Germain – Strasbourg
×
3 Way
Ume Chagua: Paris St Germain
1.16
JUMLA YA MAKISIO:
251.73
KIASI CHA BASHIRI (TZS):
-
1000
+
UTASHINDA
TZS 251,733
KODI YA ZUIO YA TRA
TZS 50,147
KIASI BAADA YA KODI
TZS 201,586
 
Huu mkeka ushauchana kwa kumpa chelsea na Man utd.
 
Back
Top Bottom