Nna Rupia 1, 1910 J, ya kijermani ya Afrika Mashariki.

Nna Rupia 1, 1910 J, ya kijermani ya Afrika Mashariki.

Huku kuna mtu anayeanika sura kwani?
Mbona huelewi, watu wanataka waone rupia...
simu yangu haina uwezo wa kupiga picha, ila natumia pc nakuonesha jinsi ilivo maana naangaika kupata msaada kwa njia tofauti
 
Attachments

  • 1247_71e9965d.jpg
    1247_71e9965d.jpg
    14.6 KB · Views: 69
simu yangu haina uwezo wa kupiga picha, ila natumia pc nakuonesha jinsi ilivo maana naangaika kupata msaada kwa njia tofauti
picha hyo ndio hvohvo ilivyo ila nilionayo ni nyeupe sana kama ni sahihi na hyo unayoifaham basi tufanye biashara
 
Na mimi nina pesa ya east africa ya 1950 senti kumi ya georgivs sextvs rex
 
Umasikini sijuo kama utaisha..Nawaza sana nionapo story kama hizi. Njia ya kutajirika ni.kufanya kazi kwa.bidii huku ukilenga kutatua changamoto za za wana jamii
 
Back
Top Bottom