Nnahitaji Fremu ya biashara eneo lililochangamka

Nnahitaji Fremu ya biashara eneo lililochangamka

Kilemakyaaro

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2016
Posts
5,050
Reaction score
5,119
Wadau nnaomba kwa mtu mwenye fremu ktk eneo likilochangamka kama Sinza au Makumbusho na kodi isizidi 150,000 anitafute tafadhal, dremu iwe kubwa na yenye viwango sio ile ya kutengeneza
 
Back
Top Bottom