Pole na kazi mkuu najua jana ilikuwa balaa, kiujumla Arusha imetuma ujumbe mzito sana Lumumba kwamba 2015 hakuna masihara.
Hongereni sana makamanda.....
ha haa, penzi jipya bana lina vituko mno....Mkuu huu ndio ulikuwa mkakati wetu kupiga honi ya kupishwa ikulu 2015.
cc Lady doctor.
Shem una mbwembwe!Nikiripoti kutoka kata zote 4 za KIMANDOLU, THEMI ELERAI na KALOLENI hapa Arusha mimi ni Arushaone wa CHADEMA.
My lovely wife Lady doctor, Makamanda Nicas Mtei Filipo Mwita Maranya Ben Saanane sweetlady Mamndenyi Mzee wa Rula etc PIPOZ!
Thanx. Tukimaliza kuteka ngome zote utaanza kulala na hela. Sawa eeh?
Tena puuu! Wapi Ruttashobolwa?
Ruttashobolwa jana
alikua anazunguka na msalaba
eti wameizika chichiemu, wacha kabisaaa!!
halafu wewe umebadilisha user name bila ruhusa yangu nakudai ujue
binamu nimekumisi
tukutane kwny party ya
kusherekea ushindi kuleeeee,c utakuja?
Binamu dismynder1nimekumiss mbaya aise
Mimi tena nikose aise lazima niwepo bana akina Mungi na Arushaone najua watakuwa wameandaa ndyofu za kutosha
halafu jina lako gumu ngoja niende course ya kulitamka aise hapa mtaani kuna english kozi
Nikiripoti kutoka kata zote 4 za KIMANDOLU, THEMI ELERAI na KALOLENI hapa Arusha mimi ni Arushaone wa CHADEMA.
My lovely wife Lady doctor, Makamanda Nicas Mtei Filipo Mwita Maranya Ben Saanane sweetlady Mamndenyi Mzee wa Rula etc PIPOZ!