Ahsante sana mkuu. Nitakuwa prezida wa tanganyika muda ukifika. Kwa niaba ya mke wangu the first lady to be Lady doctor nakukaribisha ikulu 2015.
safi sana kijana yani hadi ulikuwa upatikani, nilitaka kukujulisha kuwa Lady doctor....yeye kuanzia jana basi
omba mungu pacha wangu
asipite upande huu!!
pacha, shemejio sina hofu naye maana yule nyoka wake mla tunda natembea naye akirudi home ndiyo namrudishia
pacha nipe ujuzi wa kufanya
hivyo na mimi nitembee na nyoka wa shemejio
maana haeleweki siku hizi!!
uuwwwwiiiiiiiiiiiiiiiiiii.....pacha, shemejio sina hofu naye maana yule nyoka wake mla tunda natembea naye akirudi home ndiyo namrudishia
ha haaaa, si unajua rafiki usichana ni bora kuliko uzee?Afu nimesahau kuwambia umependeza!
usiwe na shaka rafiki.... nitakutafuta....... . . Na mkitaka upembuzi makinifu mnaweza kunitumia for free kwa mafunzo ya kazi.
cc Nivea
Shemeji mambo vipi naona tupo wawili tu hapa...
There are currently 3 users browsing this thread. (2 members and 1 guests)
hey mambo vipi jamani mbona pacha wako PL imemwona kafungwa pingu?:embarrassed1:
kaka nimetoka tu kidogo unaingia? mambo niaje lakini
atakuja siku si nyingi usijali!!oryte mum.....nimekusoma niliimiss PL