Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
usiwe na shaka rafiki.... nitakutafuta......
najua nitakupata wapi, kule kona yetu ya siku zote, lol!
cc. Lady doctor
that's the spirit......FP mbona mie sina hofu, najua ni maongezi tu navinywaji vya kutuliza koromeo zenu, utamu wote ninao mimi
that's the spirit......
kumbe umekua mdogo wangu!!!!!!
pacha nipe ujuzi wa kufanya
hivyo na mimi nitembee na nyoka wa shemejio
maana haeleweki siku hizi!!
usiwe na shaka rafiki.... nitakutafut....
najua nitakupata wapi, kule kona yetu ya siku zote, lol!
cc. Lady doctor
ha haaa, umenikumbusha kuna siku kuna mtu aliniambia natumia kioo cha mchina, lol!Wewe mbona bado msichana tu bado? Badili kioo unachotumia kujangalia kwani ndicho kilichozeeka.
Shemeji mambo vp naona tupo 2 tu hapa.
There are currently 3 users browsing this thread. (2 members and 1 guests)
Umeona shem eeh? Tunaanza mikakati na harakati za ikulu SASA. Karibu jiunge nasi. Tutakupa uwaziri wa ndoa!!!
bila kumsahau Slave, Mamndenyi Madame B Heaven on earth pacha wangu dismynder1, shemeji yangu mnoko Ruttashobolwa na Baba V. Mnakaribishwa ikulu 2015
my wii Lady doctor na mimi this time Ikulu inakuwa
kama kariakoo!!!!!!!!!!