NNE BILA! (4-0) ndio habari ya MJINI. . . Hureee!

Inshallah mkuu Arushaone lazima wakubali tu

Tumewamaliza mkuu, kwanza waliokuwa viherehere ni Mtela na mwigulu na wote walidanganya wananchi wa arachuga then wakaja jf na uongo, wakapigwa ban ya 30 days each.
 
Last edited by a moderator:
mimisa mkwe, hata kama umeachana na mwanangu bado uko tu mkwe
mambo ya baba mkwe wako yaache hivyo hivyo
si unajua ni ukoo wa machifu ule lazima wawe na wamama wengi

[/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…