Sumbalawinyo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 1,282
- 248
Wale mademu ni noma ile mbaya .
nashindwa kuelewa huwa wanatingisha makalio au kiuno?
Wale mabinti mi siwataki kabisa....
Mheshimiwa simruhusu kwenda bar peke yake, kama hataki kuongozana na mimi basi tunanunua na tunanywea ndani.
nyonga (tafsiri)pelvic gidle.
nyonga (tafsiri)
wale nawakubali uwa wanacheza nyimbo za FM Academia mie pia napenda sana wanavyokata nyonga
ushawai kuwachek KITU T KITU K?
WAtoto wa bugurun sjui mwananyamala wale dahhhh achaaaaa....vtu vnaclap hands nakwambia...wale wanakatika diaphram pelvis gidle wanaichinja....nenda ukawachek wanakwepo club continental j5...
orait orait jumatano ijayo place to be
Wale mabinti mi siwataki kabisa....
Mheshimiwa simruhusu kwenda bar peke yake, kama hataki kuongozana na mimi basi tunanunua na tunanywea ndani.
dar west
Orait Orait Jumatano ijayo place to be
kaka jumatano ijayo twenzetu
Kaka Jumatano ijayo twenzetu
huo ndo mpango