Ifike mahali ukweli usimame na uongo/ulaghai ushindwe. Kuna udhaifu mkubwa sana katika uongozi wa TFF iwe ni kwa sababu za maksudi au kwa ukosefu wa weledi.
Pengine ni wakati Sasa Uongozi wa TFF ujifakari na uachie ngazi. Huwezi Kiongozi taasisi nyeti kama TFF ilihali moyoni umejaa Mahaba na timu Fulani au ikiwa huna weledi kabisa wa kusimamia na kutafsiri kanuni na taratibu zinaoongoza michezo.
Maamuzi ya derby ya Jana ni ushahidi tosha wa TFF kushindwa kusimamia tasnia ya football nchini.
Kama TFF itakosa weledi namna hii, kwanini tusiamini hata makosa yanayofanywa na waamuzi yana mizizi huko huko?