No Agenda: Maisha ya Ngwair alijiona New York akiwa Bongoland

ngwair angekuwepo hadi Leo hii.angekuwa mbali sana
 
Huyu mwamba yaani ulikuwa ukimsikiliza mashairi yake sio yale ya mtu Kulia shida.mwingine ambaye kwa mtazamo wangu mashairi yake hayalilii shida ni mr.blue.....in short ngwair alikuwa anajua
 
Uchambuzi vema sana Album ya a.ka. Mimi, Albert alikua mwanamuziki wa rap ambaye alikua na life style ya Marekani kichwani kwake, angalia mitindo yake ya kipindi kile ndo maisha ya wanahip/hop na rap wa Bongo wa sasa.
 
Kuna huu wimbo unaitwa Maskini Wenzangu aliufanyia A.M. Records kwa Manecky....hapo nadhani Mwandishi wa Makala aliusahau.Angekua ameukumbuka basi asingeandika hii makala kwani ipo tofauti kabisa na upande wa pili.

Ngwair ft.Mirror-Maskini Wenzangu | DondosaMusic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…