No Agenda: Maisha ya Ngwair alijiona New York akiwa Bongoland

No Agenda: Maisha ya Ngwair alijiona New York akiwa Bongoland

Ukmalza kusoma commenta hapa tafta nymbo hiz ujkumbushe kdgo

Alma
CNN
Tunavyoroll

Hivi hii Alma ni ile alimuimbia demu flani kama mtoto wa Kikwete vile eeeh! Kuna ngoma ya dizaini ile huwa naitafuta nishaisahau.
Ongezea Baby pia hapo yupo na Rocka ambayo kabla hawajafanya video akatutoka.
 
Kuna tafsiri mpya?
Ni misosii,mitungii na mikasi


Nasio
Misosii,mitungi na "bangi"

"Sasa wewe una simu tochi usiku huu utacomment wapi"
😂😂😂
Bora hiyo tochi ubakize chaji kesho ikusaidie ukiwa chini ya handaki


Sasa wewe una bati usiku huu utaenda wapi
Hiyo bati si bora ubàkize kesho ukanywe chai na chapat7
 
Ngwair alikua bongo bahati mbaya,he was naturally talented and gifted hakua ana tumia nguvu nyingi kwenye kazi zake image Ngoma kama msela ilikua ni freestyle huyu jamaa sio rahisi kumuelezea
 
Mwisho wa siku alikufa masikini akiwa hana hata kiwanja, hata bajaji, hata bodaboda, hata ghetto tu zuri km alivyoimba kwenye wimbo wake wa ghetto langu alikuwa anaishi kwa q chilla kila siku alikuwa anamuambia mama ake usijali mama mambo yatakaa tu sawa kuna michongo nafuatilia dooh so sad..!!! "Nipo around mazee......"
 
Huyu jamaa alikua anachana kidunia yake sio wachanaji wa sasa wanapigana madongo kama dida na yule jamaa dume anatangaza taarab. Mangwair alikua hana time ya kumdiss rapper mwenzake yeye ni kutiririka tu na mistari.
 
Sifa mnazompa huyu marehemu ni balaa aisee laiti mngempa enzi akiwa hai nina imani asingekua punda kipindi umauti unamfika.
 
Watanzania walimuunga mkono kwa kununua ile album yake, niliwahi kwenda sehemu fulani kijijini nikashangaa kuikuta album yake ikisikilizwa mm nadhani meneja na producer wake walimzunguka kwa muhindi.
 
Nakumbuka nikiwa Darasa la tatu, kwenye ile mitihani ya stadi za kazi upande wa Sanaa, me sikupeleka kitu, nilichana ngoma ya Ngwea " She Got A Gwan " yote na mwalimu alinipa 100% kwenye ripoti.. RIP One of the greatest Mcee Albert..
 
Back
Top Bottom