Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
AminaDah! Nmeumaliza huu uzi kwa huzuni sana! Huyu mwamba nlikua namkubali sana. Muziki wake ulikua wa viwango vikubwa sana, lakini haukumfaidisha vile inatakiwa, mpaka ametangulia mbele za haki akiwa bado hajawa na uchumi mzuri. Ni vile tu dunia haiko fair. Itoshe tu kusema, APUMZIKE KWA AMANI.