No Agenda: Maisha ya Ngwair alijiona New York akiwa Bongoland

R.I.P Ngwair...huyu mwamba alikua gifted...talented...he was the real deal.Alikuwa ana flow effortlessly...the good ones go too soon.
 
I say uzima huu sio muziki wa kupima
Uwe ma jembe nalima Kitu gani sina?vocal vina?jina?hata heshima?Sio bima Nina hasira ila nimechilla. Ndoto zangu kuja kuishi kwenye villa,ila Kuna wajinga ndo wanataka eti kumshusha huyu mista.
Hawajui cowobama ndo surname ya freestyle.? Sa kivp watoto wadogo wanataka kupima Hizi level. Nawakumbusha please don't f*** with a devil.....,..........

RIP Ngwea.The most talented rapper ever born in Tanzania
 

Wanakuja
 
Hii ngoma inaitwaje?
 
Umeskiza wimbo wake wa M.A.F.I.A
 
King of freestyle? Mimi namkumbali mangwear na huwa naskia alikuwa king of freestyle mpaka leo hajawahi tokea ila nimejaribu kutafta hizo freestyle cjaona kama alikuwa anamzidi nikki mbishi kwangu naona nikkimbishi ndio king of freestyle Tz
 
Za mapenzu zipo kama

She got a gwan

Anayolalamika ni

Dakika moja

"Samahani dada naomba dk yako moja tu nataka kuongea mimi na we

Nataka nikueleze kiasi gani amacho mi moyoni napenda kuwa mimi nawe
Hapo Ngwair alikuwa analilia kutongoza, na sio kutendwa. Alikuwa anamlalamikia manzi ili amueleze ni jinsi gani anavyompenda.
Nenda kasikilize vizuri
 
King of freestyle? Mimi namkumbali mangwear na huwa naskia alikuwa king of freestyle mpaka leo hajawahi tokea ila nimejaribu kutafta hizo freestyle cjaona kama alikuwa anamzidi nikki mbishi kwangu naona nikkimbishi ndio king of freestyle Tz
Una utani sana
 
Uchambuzi wa viwango vya aina yake. hongera ndugu mwandishi, RIP ka'obamaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…