No betting and gambling challenge

No betting and gambling challenge

Ahahahah 😂😂😂😂
Hii challenge nzuri ila wengi tutasema ianze keshokutwa ili tucheze casino leo na kesho mara ya mwisho
 
Huu mshindo nimeuchapa Weekend Jmosi na jpili lafu niache kweli?
Screenshot_2024-03-11-01-31-39-00_13fe06d634c37adbbaa42de7096e7c98.jpg
 
Hahahahahahah ushachezea kichapo huko ,unahisi inawezekana?kamari ni roho ni kama ulevi au nyeto tu iko siku utatia keka tu
 
Naunga mkono...maana vijana wanakesha kucheza kamali(betting).
Baada ya kuliwa wana nunua Kvant wana changanya na Energy drink.
Baada ya hapo wanaenda kutafuta malaya wa buku 5 Wale wanao jiuza.
Kesho yake ana simulia mechi ya Simba na Yanga.
HALOOH TUNAHITAJI MKOMBOZI AMA TURUDI UTUMWANI LA SIVYO KIZAZI KINA TEKETEA.
 
Back
Top Bottom