No Clatous Chama, No Party!

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
44,855
Reaction score
189,385
Nimeangalia watani zangu leo, kwa kweli wana hali ni dhohofu lihali na mbaya sana.

Triple C anatengeneza big chances nyingi sana na ananyambulika vizuri sana ila hawa wachezaji wengine sawa na wagonjwa walio ICU.

Kwa hali hii watani zangu hali ni mbaya nimeanza kuwasikitikia maana wanasema wanaenda mashindano ya mabingwa Africa.

Huko kwa upepo huu wa No Chama, No Party mtatia aibu taifa.
 
Nini maana ya kikosi kipana sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…